Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hahaaa, bora umeongea ukweli tu, nijue kabisa sina any support from you kama huyo kiboko akitokea mbele yetu, sipati picha utakavyotimuka kivyako ,tutakutana homee
😁😁😁
Hahaaa, bora umeongea ukweli tu, nijue kabisa sina any support from you kama huyo kiboko akitokea mbele yetu, sipati picha utakavyotimuka kivyako ,tutakutana homee
Rambirambi kwa wote mlioguswa na msiba huu
0753935970
Hahaaa, bora umeongea ukweli tu, nijue kabisa sina any support from you kama huyo kiboko akitokea mbele yetu, sipati picha utakavyotimuka kivyako ,tutakutana homee
mkuu update?
au koboko kaishanifunganyia virago mjf mwenzangu
tegeta kule kuna vyura tu na chambo aka minyoo. Akiibuka Koboko huko hata kiwanda kitafungwaNimemuona muda flani kwenye uzi wa tanesco kwao mivumoni huko tegeta analalama umeme kukatika.
tegeta kule kuna vyura tu na chambo aka minyoo. Akiibuka Koboko huko hata kiwanda kitafungwa
Ngoja nisubucribu kabisa ili kesho nipate mrejeshoHabari za muda wandugu,
Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.
Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.
SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.
ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
Ngoja nisubucribu kabisa ili kesho nipate mrejesho
Kuwa makini sana koboko si nyoka mzuri ana viashiria vya nguvu za kishetani kama hauko vzr utaondoka... i mean next post utaiandika ukiwa kuzimu....watch out....Habari za muda wandugu,
Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.
Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.
SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.
ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
Hahaaa, wee hayajakufika mkuu, kuna siku nilikua na mama na Mdogo angu mdogo tu ,tunapita zetu,ilikua usiku, Mara kikakatiza kitu hivi mbele yetu sijui nyoka yule jamani nilitoka speed moja ,wakanikuta mbeleee nakaribia home wao wanakuja wamebebana .tutatimka wote lakini ww nahakikisha uko salama mbele yangu.
Kesho saa ngapi?Huyu naua mwenyewe.....
we jamaa bwanaAngalia asije akakudaka takoni...
Vipi akibeba kichwani chungu kilichojaa maji ya betri?Koboko ana sumu ya kuua ngombe wazima mia moja na hamsini. Sumu yake nusu saa haiishi. Ana spidi kuliko gari inayopita kwenye rough road- km 25 kwa saa. Kwa hiyo akiamua kukufuata ukikimbia anakudunga faster. Njia pekee ya kumuua sio fimbo- ni kubeba chungu kilicho wazi cha uji wa moto kichwani. Akiwa kwenye mti atapenda kukudunga utosini. Akiruka akudunge anatumbukia kwenye uji wa moto anakufa. Lakini hilo linahitaji ujasiri wa kipekee. Ukimwendea na fimbo utakuwa marehemu ndani ya dk 29