Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
Ngoja nisubucribu kabisa ili kesho nipate mrejesho
 
Kibri

tapatalk_1560354106208.jpeg
 
Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
Kuwa makini sana koboko si nyoka mzuri ana viashiria vya nguvu za kishetani kama hauko vzr utaondoka... i mean next post utaiandika ukiwa kuzimu....watch out....
 
Koboko ana sumu ya kuua ngombe wazima mia moja na hamsini. Sumu yake nusu saa haiishi. Ana spidi kuliko gari inayopita kwenye rough road- km 25 kwa saa. Kwa hiyo akiamua kukufuata ukikimbia anakudunga faster. Njia pekee ya kumuua sio fimbo- ni kubeba chungu kilicho wazi cha uji wa moto kichwani. Akiwa kwenye mti atapenda kukudunga utosini. Akiruka akudunge anatumbukia kwenye uji wa moto anakufa. Lakini hilo linahitaji ujasiri wa kipekee. Ukimwendea na fimbo utakuwa marehemu ndani ya dk 29
Vipi akibeba kichwani chungu kilichojaa maji ya betri?
 
Back
Top Bottom