Hahahaha asante sana hyo kinywaji mh mue natumia maji tu wangukaribu mgeni,, natumia smirn off ice sijui ww??
Karibu....
Asante pendwa pakatwa mie mh ukarimu huu nimeupenda sanaTunakupokea vzr...unapakatwa unapewa maji baridi
Asante pendwa pakatwa mie mh ukarimu huu nimeupenda sana
Asante pendwa pakatwa mie mh ukarimu huu nimeupenda sana
Asante pendwa pakatwa mie mh ukarimu huu nimeupenda sana
asanteeh jinsi yngu m ni ke jaman mwanadadaaa hahaaa asanten kwa ushauri mzurii nami napenda sana utan na kabla ykuomba kuingia humu nimekuwa mfuatiliaji wa kila ktu so nlisoma mchezo kwanza nkaona ntamuduu asanteee wapenzi
swali tu dogo wewe ni ME au KE?