Knock knock knock!

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
57
Habari zenu wakuu, I'm glad kuwa mmoja wa wana JF kwani tayari nimenufaika na kujifunza mengi kutoka humu jamvini - hongereni sana! Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF na kwa kweli nimevutiwa na jinsi hoja zinavyojibiwa kwa hoja! Natamani watanzania wengi zaidi wangekuwa na taarifa na access ya hii forum maana its more than just a forum!

Again, nawashukuru wote na tupo pamoja katika harakati za kuelimishana akina nguli, blueray, masanilo, ZD, Pretty, Xpin, Firstlady1, Bubu ataka kusema just to mention a few nazikubali kazi zenu- asanteni sana
 
Back
Top Bottom