Knock,knock Jamii forums

Cute Pie

New Member
Aug 9, 2010
4
1
Habari wana jf,mimi ni member mpya wa jamvi hili..jf imenihabarisha na kunielimisha mno,..i hpe am welkamd kuchangia ili niweze kuelimisha
 
Karibu sana, ili mradi usianzishe sredi ya kutafuta mchuma/mume/mke:sleepy::sleepy::sleepy:
 
Asprin unasubiliwa na krolokwin wanaujio mpya your flw sikuhizi ni Mods je wewe??

Hahahaa...mi ni invizibo....huyu maifellow yuko wapi? Nimemtafuta kwenye masredi yote yanayoleta mastress kwa kinamama simwoni. Nahisi kasharubuniwa huyu!
 
Hahahaa...mi ni invizibo....huyu maifellow yuko wapi? Nimemtafuta kwenye masredi yote yanayoleta mastress kwa kinamama simwoni. Nahisi kasharubuniwa huyu!
Ahaaaaa,WL kashika kashikika!!yupo tafuta kwenye vyumba vya wageni yupo!nakazi yupo tamwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom