Klorokwin..................

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,596
Shemeji yangu klorokwini

Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!

KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.

Aksanteni.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli felo tablet wa ODM na asali wake wanamsaka sana, ile hela ya Man of the Year tunaenda kuifumua Fyatanga leo.
 
Huyu atakuwa ameenda "Yaenda" kwenda kupambana na "Mtu Chake". Hi hi hi ...am just saying!.
 
Fansidar vipi haipandi au mpaka Klorokwin?

Hahahaha hajatokea Fellow Tablets naye atadai ye ni bora kuliko Klorokwin.....Asprin naye atakuja na hoja yake ya kupunguza maumivu.Kaazi kweli kweli

Mbu darling, where are you? au ndo kwa kuwa tunazungumzia mahasimu wako basi nawe umeficha kichwa kwenye mabawa??
 
Kwa kweli felo tablet wa ODM na asali wake wanamsaka sana, ile hela ya Man of the Year tunaenda kuifumua Fyatanga leo.

kongosho umeona eh mpenzi........yaani hawa watu wamepotea na ladha ya JF mapenzi na mahusiano na chit chat
Afu jamani Golden Mpolee hajafunga shule bado?? Nimemiii!!
 
Inawezekana mods wamechukua sera ya serikali kupiga ban vidonge vya klorokwin nao wakampiga ban shemeji yako mpendwa klorokwin..
 
Inawezekana mods wamechukua sera ya serikali kupiga ban vidonge vya klorokwin nao wakampiga ban shemeji yako mpendwa klorokwin..

Loh...........ntakula nao sahani moja kwa kweli, nimemiss sana bana.
 
Kumbe wewe ni bhageshi, Mnyantuzu wa wapi, Majahida, Kilulu, au Baryadi mjini. Kumbe hupajui Yaenda...hebu subiri kidogo!.

Yegomasika .............Ishiii!! Bhebhe ang'u......... nayanga gheteghete!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…