Klabu Yenye Kutandaza soka Muruwa Kwenye Premier League

mpira Magoli na vikombe, kichapo cha jana walichochapwa na Chelsea 2-0 ni somo kubwa mno
 
hiyo kilabu inayotandaza soka lenye kusisimua je imewahi kubeba champions league mara ngapi?

Au ndo uhuru wa kuongea basi hata uharo mna bwabwaja tu?

we ni kilaza kweli jibu swali.hakuna aliyeuliza ni klabu gani yenye makombe mengi uk ni ipi .na je ukiulizwa ni klabu gani yenye mpira wa nguvu utauliza makombe?
 
wanaojuwa soka hawaangali utandazaji wa soka.
Wanaangalia vikombe na ngao kabatini ziko ngapi?
Na ndo maana wachezaji wenye utiamamu wa akili wote wamewakimbia na mmebaki na hao hao kina Bendtner, Diaby na konokono wengine
duh kaka basi mbona unaua sana wewe lol teh teh teh
 
we ni kilaza kweli jibu swali.hakuna aliyeuliza ni klabu gani yenye makombe mengi uk ni ipi .na je ukiulizwa ni klabu gani yenye mpira wa nguvu utauliza makombe?

Ringo sawa mimi kilaza.
Ila mi nataka nikuulize wapi umeona kumeulizwa swali?
Topic inasema kilabu yenye kutandaza soka murua katika UK premier League..sasa je swali liko wapi hapo?

Mimi nikasema soka Murua si mafanikio.
Mafanikio ni vikombe na ngao kabatini.

Usikurupuke kijana...
hapa sio facebook mnakoandika uharo wenu sijui ''am tied, au am on the road to home''...kisha wapuuzi wana coment.

Hapa ni JamiiForums the home of great thinker.
So usipapatike.

Kama huna cha kuandika nenda kachukue kopo ukachambe.
 
Back
Top Bottom