KKKT labariki unywaji wa Pombe

Tulizeni vichwa pigeni maji. Sasa mkubwa wenu si kawaruhusu? Yeye ndio atajibu kwa Mungu. Piga vitu.!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila kulitaja kanisa katoliki ujumbe wako hautaeleweka???
 
Maelezo yako ni mazuri sana yanakosa tu support ya vifungu vya biblia.
 
Kuna vikundi vya waumini wanajiita FARAGHA au wana-FELLOWSHIP.Hiki ni kikundi cha walutheri wanaosali humo,lakini huwa na muda wa kukutana na kufundishana ukweli wa biblia.Ni kikundi kinachofuata mafundisho ya KIPENTEKOSTE,hawanywi pombe wala hawapendi mambo ya kidhambi.Wana ushirikiano na wenzao walioko Anglikan.Hawa wanafanya taratibu za ibada za kipentekoste wanapokutana faragha.
 
Baba Askofu ameeleza vizuri sana, nani asiyejua kama wakristo asilimia kubwa wanakunywa pombe? Hongera Baba Askofu kwa kusema ukweli.
 
Soma hio pombe ruksa
 
So What!!!
 
KKT walishamaliza uhasama na RC kwa kukubali kuwa mafundisho ya Luther yalikuwa na makosa na tofauti ya uelewa juu ya injili! Hivyo mwaka 2017 KKT, RC na Makanisa washirika wataanzimisha jublei ya 50yrs tangu kushuka malikia wa patmo( for RC), 500yrs tangu martin Luther kujitenga na RC, jublei tangu KKT na RC kumaliza uhasama ( hii ni ya ajabu kwani jublei hii ni ya chini ya 25yrs) n.k Kwa kifupi wataanzimisha jublei kama 8! Na jarida lishatolewa kwa ajili ya Mafundisho! Kwahiyo si ajabu kuona KKT wakianza kufundisha mafundisho yenye misingi ya RC na kuacha yale ya Luther!
 
This ecumenical is very danger kwa wale wenye kujali kweli na maandiko( fundamentalists)! This will lead to religions unification...under one leader that's Pope in the name peace finding for the world in the expense of truth!
 
Ukitaka kutafuta mistari inayokataza pombe unaweza usiione, ila kama unaishi kwa kulitafakari neno na kulisoma kwa unyenyekevu huku ukiongozwa na Roho Mtakatifu, utagundua kuwa KILEO hakistahili kabisa kwa yeyote anayetaka kuheshimika mbele za Mungu. Soma Luka 1:15
 
Kwanini hakistahili?
 
Kuna yoyote anajua kwa nini rais wetu anaitwa 'Pombe"?
Askofu Malasusa bora asome hiyo posting ya ulevi Rombo.
Budha alisema jambo lolote ni halali kama halina madhara kwako; kama mtu anafikiria anaweza kunywa pombe mpaka achoke na hatadhurika, basi pombe haina madhara kwake.
Pombe tuliijadili katika ile posting ya yule Waziri aliyehutubia Bunge katika haki ya ukevi halafu akafukuzwa kazi!
Kwamba alcoholism ni blood disease, kwamba watoto wa alcoholics lazima watahadharishwe kuhusu kunywa pombe because they are in very grave danger of being alcoholics.
 
This ecumenical is very danger kwa wale wenye kujali kweli na maandiko( fundamentalists)! This will lead to religions unification...under one leader that's Pope in the name peace finding for the world in the expense of truth!
Mambo ya Ecumenism yameingiaje hapa! Una laana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…