KKKT-KUNYWA KIKOMBE KIMOJA TUU,yazua balaa Serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KKKT-KUNYWA KIKOMBE KIMOJA TUU,yazua balaa Serikalini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AMARIDONG, Mar 28, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Kikombe kimoja cha babu wa Samunge maarufu kama KKKT(KUNYW KIKOMBE KIMOJA TUU)Kimezua balaa serikalini kwani mpaka sasa serikali imeshindwa kuzuia wingi wa watu wanaomiminika huko Semunge,

  Waziri mkuu amesikika akisema watu wasiende huko kwa wiki nzima ilhali mamia ya watu wanaondoka Arusha kila siku kuelekea Semunge

  Huku PM au wajina wangu akisema hayo ,Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro amesema watu wawahi Semunge kabla dawa haijaisha

  Kazi kweli kweli ,nafikiri JK atoe tamko.
   
 2. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du! Kunaulazima wa kuwahi!!
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Unasema Kikwete atoe tamko, tamko gani unataka atoe wakati rais wenye kilaza anashindwa kuzungumzia mambo ya taifa ataweza mambo ya Loliondo. Unaongea pumba kiyana
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  MIMI SIO KIYANA WEWE ,MIMI BABAAKO LEO JIONI UMUULIZE MAMAAKO SAWA DOGO,RAISI ANA KAZI GANI SASA KAMA KILA KITU KIMEMSHINDA

  hata hili la KKKT haliwezi??
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya ndo maeneo ya kujidai JK sasa,unadhani asipotoa tamko hapa ataweza kutoa wapi?
  Yan hata kuvunja chawa ashindwe jamani kweli?

  Tusubiri mwisho wa mwezi
   
 6. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nadhani wote tunajua dhahiri kuwa Mh. rais si mtu/kiongozi wa matamko, mara zote yeye husubiria impact ndo atolee maelezo...
   
 7. A

  Anold JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Jamani rais ni mtu mkubwa anayehitaji kuheshimiwa, hata kama kuna uhuru wa kutoa mawazo na kuonyesha hisia, ila nafikiri ni vizuri kuonyesha heshima kwa rais wetu. maneno ya kejeli na kashfa na ya mtaani sio busara kuyatumia tunapomzungumzia rais wetu. (hayo ni mawazo yangu tu samahani sana kama kuna mtu nimemkwaza)
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mimi binafsi kama mwanaJF hujanikwaza. Nakuunga mkono. Kuongea kwa uwazi hakuna maana ya kutukana tukana tuuuuuu. Mtandao utakosa heshima. Jamani tutoe mawazo yetu kwa busara siyo kutukana. Jana kulikuwa na thread kuhusu Shigela kumtukana Sumaye, watu wengi waliochangia walionekana kutokubaliana na matamshi ya Shigela dhidi ya Sumaye lakini sisi humu ndani ndio viongozi wa kumtukana Rais. Tuwe na busara vijana wangu. Hata kama humkubali huyo Rais lakini heshima tu ya Kiafrika inatakiwa iwepo, huu mtandao usije kuonekana ni wa kihuni huni tu. Utakosa maana kama kweli malengo yake ni forum ya kuongelea masuala ya kitaifa na kuwa chachu ya kuwakomboa watanzania. Tufikiri.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Siungi mkono na kutukanwa kwa raisi hata kidogo.
  Msimkosee heshima kiasi hiko ndugu yangu.
   
 10. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hiyo miti inayotoa mizizi ya babu kwa hakika itakwisha huko aliko. - Sijui atalazimika kuhama ili kuendelea kuwanywesha wagonjwa wake?
   
 11. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ipo kwa wingi sana Dodoma na Singida hivyo usihofu. tatizo ni babu tu ndio anaweza kuitengeneza dawa kwa miti hiyo na si mwingine.
   
Loading...