KKKT kuadhimisha miaka 500 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya pamoja pale uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi.

Itakuwa ni ibada ya kipekee ambapo maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria ibada hiyo ambayo itahudhuriwa pia na askofu wa DMP Dr. Malasusa.

Tutashuhudia kwaya zenye mamia ya watu wakiimba kwa pamoja kutoka katika kila jimbo.

Wote tukaribie.
Asante
 
Tutakaa kijimbo/kiusharika, sina hakika kama tunatoka jimbo moja
Ila wanakera sana! Mda huu natoka hapo azania front kufuatilia matishet ya watoto ea kipaimara, lkn ni kama hawakujianda na hili tukio kabisa! Kiukweli Malasusa inafaa afanye mapinduzi makubwa sana kwenye uongozi wa dayosisi
 
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya pamoja pale uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi.

Itakuwa ni ibada ya kipekee ambapo maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria ibada hiyo ambayo itahudhuriwa pia na askofu wa DMP Dr. Malasusa.

Tutashuhudia kwaya zenye mamia ya watu wakiimba kwa pamoja kutoka katika kila jimbo.

Wote tukaribie.
noted with thanks
 
Am Real Apriciate Makonda Kwa Kweli Yan Namkubali Mpaka Basi Nimeona Kuna Jamaa Kamponda Apo Juu,, Kama Ningekua Na Tuzo Ningempa Makonda Asee
 
Back
Top Bottom