KKKT kuadhimisha miaka 500 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Ulinzi na usalama vimeimarishwa?

Ulinzi utakuwepo wa kutosha ila waumini wametahadhalishwa kutokwenda na vitu vingi vya kushika mkononi, watoto wadogo hawataruhusiwa zaidi ya wale wanaopata kipaimara
 
Miaka 500 si haba, kuja kuiona tena miaka 500 mingine ni vilembwe vyetu sio sisi tena
Tunaiombea siku hii ikawe siku ya baraka, hali ya hewa iwe rafiki ukizingatia kuna ibada ya kipaimara pia
Naamini utahudhuria ibada sio mbaya tukikaa siti moja siku hiyo
 
Miaka 500 si haba, kuja kuiona tena miaka 500 mingine ni vilembwe vyetu sio sisi tena
Tunaiombea siku hii ikawe siku ya baraka, hali ya hewa iwe rafiki ukizingatia kuna ibada ya kipaimara pia
Nipe ratiba vizuri ili kama itakupendekeza nikusindikize!
 
Back
Top Bottom