KKKT kuadhimisha miaka 500 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Wachungaji wa KKKT na waumini wao huwa wachawi wanawanga, hata ukihudhulia ibada zao mara nyingi wanafundisha uchawi uchawi
Nmeshakutambua wewe ni dhehebu gani... Baki hivyohivyo
 
..we wauona upuuzi lakini waathirika kwao ni issue....Inaonekana inakuhusu hii...tukio la leo linahusu miaka 500 ya kanisa....Na huu unaoita upuuzi unahusu matendo ya viongozi wakuu wa kanisa hili....kama huoni kuna uhusiano we ni kichaa kama jina lako..

Una matatizo kichwani haupo sawa , huo upuuzi wako unahusiana Vp na tukio la leo
 
1. Kabla ya KKKT, most likely hapakuwa na Wakristo Tanganyika.

2. Sina hakika kama KKKT ina umri wa miaka 500. Pengine tunamaanisha miaka 500 ya Lutheran Church, yaani ni miaka 500 iliyopita Martin Luther aliandika ile thesis yake kuasi Kanisa Catholic.

3. Historia inaonesha kanisa la kwanza kujengwa Mainland East Africa ni kanisa Catholic liko pale Bagamoyo. Na nafikiri lilijengwa in 1800s. Hivyo, Kanisa la Lutheran Tanzania haliwezi kuwa na umri wa miaka 500.
Miaka 500 ya matengenezo ya kanisa
 
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya pamoja pale uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi.

Itakuwa ni ibada ya kipekee ambapo maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria ibada hiyo ambayo itahudhuriwa pia na askofu wa DMP Dr. Malasusa.

Tutashuhudia kwaya zenye mamia ya watu wakiimba kwa pamoja kutoka katika kila jimbo.

Wote tukaribie.
AMEN AMEN AMEN.
 
Miaka 500 ya ufisadi makanisani during collapse of roman empire under AUGUSTUS .4century

Angrican pepo LA ufisadi linawatafuna toka kipindi cha utawala wa Luis xvi France .kodi walizowatoza wakulima wa kizungu maskini sasa ndyo tunatozwa waafrika maskini kupitia vibahasha
 
Miaka 500 ya ufisadi makanisani during collapse of roman empire under AUGUSTUS .4century

Angrican pepo LA ufisadi linawatafuna toka kipindi cha utawala wa Luis xvi France .kodi walizowatoza wakulima wa kizungu maskini sasa ndyo tunatozwa waafrika maskini kupitia vibahasha
Thibitisha..
 
Thibitisha..
OK
Hizi ni baadhi ya kodi zilizotozwa na makanisa ya roman na angrican kuanzia mwaka 1234-1789
1.burial fee
2.bible fee
3.lord service fee
4.marriage fee
Zingne zilikuwa inform of selling ur manpower
Mfano.
Rent in kind
Rent in labour

Baada ya mapinduzi kufanyika nchi nyingi za ulaya kuanzia 1848

Wenyewe wanaita 1848revolution
Kukawa na separation kati ya serikali na makanisa
Hapa kanisa halikuruhusiwa tena kutoza kodi wala kumiliki ardhi na kuwafanyisha wakulima kazi kama watumwa

Solution ikawa ni afrika sasa

Anyway tusiende mbali kwenye maswala ya mungu tuishie hapo kila mmoja ashikilie imani yake
 
Baada kuona huu ubarikio wa juzi uwanjwa wa taifa dsm. Akili yangu ikasema ni wakati sasa kanisa la kkkt likafikiria kuanzisha kipaimara/ubarikio wa dharura. Maana huu ulikuwa wa dharura ya matengenezo miaka 500. Kutokana na hali ya hewa oooh ilikuwa dharura!!!. Maana twajua uko ubatizo wa taabu au dharura hasa pale mtu anapoelekea kifoni.
 
Back
Top Bottom