Eti ticha USAMBE maana yake nini?!au ndo USIMBE
ukipata hizo dolari lete nikuwekee swa toto zuri lolYani nimeshaingia barabarani muda huu sirudi home hadi nimpate kasie, Nipo busy na camera yangu hapa. Sikukuu hii ooh
Nakupa home work hiyo, teh ni marufuku mwalimu kusema "sijui"
basi tufanye ni USIMBE...hivyo kutoa ni moyo USIMBE si utajiri
Usahihi wa methali hiyo ni: KUTOA NI MOYO USAMBE NI UTAJIRI.
Maelezo yake ambayo kiuhalisia utata upo kwenye neno 'USAMBE' ni hivi;
Usambe imetumika kama kifupisho cha neno usi - ambe yaani usiseme. Hivyo tukiiandika hii methali kwa maneno tuliyozoea kutumia itakuwa;
KUTOA NI MOYO USISEME NI UTAJIRI.
Cc: Evelyn Salt
#nawasilisha
Looh niache kwenda kununua gauni la thikukuu mieeeukipata hizo dolari lete nikuwekee swa toto zuri lol
The ride!
Naisaka nikiwa kamera tatu.