KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

mzee tupatupa kidogo unanichanganya; najua ccm ina kamati yake ya uchaguzi na ndiyo iliyoshiriki kuandaa vifaa vya uchaguzi na kuhitimisha kazi yake kwa kusimamia na kuhesabu kura. sasa hao usalama wa taifa wanaingiaje hapo? au tume ya uchaguzi ndani ya ccm inaundwa na idara ya usalama wa taifa? nyinyi wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm mnaruhusu vipi watu wasiokuwa wajumbe wa chama chenu kushiriki mkutano wenu unless you tell me kuwa baadhi ya maafisa usalama wa taifa ni wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm.
 
Ndugu yangu Kisima Jongoo,wapo Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mkutano Mkuu na hata Kamati Kuu ambao ni Usalama wa Taifa. Hawa wana ndimi mbili. Lakini hapa siwazungumzii hao.Ninaowazungumzia hapa ni Usalama wa Taifa walioingia chumba cha kuhesabia kura na kuonesha vitambulisho vyao halafu kusema na kutenda nilivyosema. Kiufupi,Kamti ya Uchaguzi ilivamiwa na Usalama wa Taifa.Umeelewa?
 
Nimekupata mzee tupa tupa, tulio nje ya chama hicho tunasikia kila siku mkilumbana juu ya kuwepo makundi ndani ya chama chenu. Hivi haiwezekani wajanja wakatumia loophole hiyo kujifanya maafisa usalama na kuvamia shughuli nyeti kama hiyo kwa maslahi ya kundi wanaloliunga mkono. Tunajua kuna vyeti vya kughushi kwa ngazi mbalimbali za elimu huoni kuwa hata vitambulisho vilivyoonyeshwa na watu hao vyaweza kuwa vya kughushi pia. Ninavyosikia ni jambo la mwisho kabisa kwa afisa usalama wa kweli kujitambulisha hadharani vinginevyo ni kanjanja.
 
salute kisima jongoo! hao jamaa wa usalama wa taifa piga ua garagaza hawajitaji hata siku moja. unaweza kuwa unamjua vizuri kabisa lakini ukimuuliza kazi hata siku moja hakwambii, sembuse kujitambulisha ndani ya ukumbi wa mkutano tena unaorushwa live na baadhi ya TV
 
Nimekupata mzee tupa tupa, tulio nje ya chama hicho tunasikia kila siku mkilumbana juu ya kuwepo makundi ndani ya chama chenu. Hivi haiwezekani wajanja wakatumia loophole hiyo kujifanya maafisa usalama na kuvamia shughuli nyeti kama hiyo kwa maslahi ya kundi wanaloliunga mkono. Tunajua kuna vyeti vya kughushi kwa ngazi mbalimbali za elimu huoni kuwa hata vitambulisho vilivyoonyeshwa na watu hao vyaweza kuwa vya kughushi pia. Ninavyosikia ni jambo la mwisho kabisa kwa afisa usalama wa kweli kujitambulisha hadharani vinginevyo ni kanjanja.

Kwakuwa nami nimepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa,kila aliye kundini namfahamu.Tena hata kwa kumtazama tu.Kwasasa nilikuwa nje ya system kwakuwa nilikuwa nafanya kazi za kichama zaidi. Nilikuwa upande wa 'saka-usakwe'.Upo hapo Mkuu?
 
mkuu umenitoa kapa, saka-usakwe! dadavua kidogo mkuu.
 
Mkuu uko juu! that,s why I like JF
Kwakuwa nami nimepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa,kila aliye kundini namfahamu.Tena hata kwa kumtazama tu.Kwasasa nilikuwa nje ya system kwakuwa nilikuwa nafanya kazi za kichama zaidi. Nilikuwa upande wa 'saka-usakwe'.Upo hapo Mkuu?
 
mkuu umenitoa kapa, saka-usakwe! dadavua kidogo mkuu.

Hiyo ni moja kati ya Makundi yaliyopo Usalama wa Taifa.Hili ni lile la kumtafuta mhalifu(saka) na kumtia mikononi kwa mahojiano ya kiusalama.Na mtumwaji akishindwa kumpata aliyetumwa amsake,hutafutwa yeye ili aeleze sababu za kushindwa kwake(usakwe). Umeelewa Mkuu?
 
Back
Top Bottom