Kizazi kinazidi kuangamia

Kizazi kinazidi kuangamia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1439222718608.jpg
 
Enzi za makuzi yetu ilikua hata ukivaa nguo yenye kiraka unajichukia lakini siku hizi wananunua zilizochanwa makusudi ati wanaenda na wakati. Hivi wanaenda na wakati au wakati ndio unaenda nao?!?
 
Enzi za makuzi yetu ilikua hata ukivaa nguo yenye kiraka unajichukia lakini siku hizi wananunua zilizochanwa makusudi ati wanaenda na wakati. Hivi wanaenda na wakati au wakati ndio unaenda nao?!?

Wengine wanazichana mwenyewe
 
Wengine wanazichana mwenyewe

Ha ha ha Mshana Jr.. nakumbuka hii fashen ilipoingia ya kuchana nguo mdogo wangu alimwagia maji ya betri jeanz yake kwenye magoti.. Bado anakumbuka mkong'oto alioupata toka kwa dingi.. nadhan ilikuwa mwishon mwa miaka ya 80 au mwanzon wa 90..
 
Last edited by a moderator:
ujana wa siku hizi tabu sana. vijana wa kiume wanavaa blauzi ndo wanasema fashion.
 
ujana wa siku hizi tabu sana. vijana wa kiume wanavaa blauzi ndo wanasema fashion.

Hii ilikuwa kama kitu cha kushangaza lakini siku hizi yani ni kawaida kabisa
 
Hii ilikuwa kama kitu cha kushangaza lakini siku hizi yani ni kawaida kabisa

kwani sa hivi imekuwa kawaida. t-shirt inavyokuwa design. kazi ipo sana. unakuta mzazi anaongoza na mwanaye amevaa hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom