Huko Uganda machangudoa wanalalamika soko lao limevamiwa na vijana wadogo wa kiume kuanzia miaka 15.....Vijana hao ambao wanakuja kwa kasi wanaonekana kupendwa sana na Madereva wa Malori..
naona madem ndio hawaeleweki. Utamkuta anapanga waume 8 halafu kitaelewekaje. Tamaa nyiiingi hadi inaboa. Wengi wa Wanawake wa siku hizi wakipata mwanume anahisi amepata mgodi, asipoona halitokei anatafuta mwingine na mwisho wake ndio huku kusagana