Kizazi kilichojaa chuki, wivu na sononi

Kizazi kilichojaa chuki, wivu na sononi

Unaweza kushangaa ama kuumizwa na yanayoendelea Tanzania na nje ya mipaka yake. CHUKI iliyopitiliza kwenye lolote kwenye chochote. Jamii imeathirika na kuathiriwa. Sio siasa sio awamu ni kizazi tulichonacho. Pamoja na kwamba siasa zinaweza kuwa kichokoo lakini nyakati ndio kiasili na msingi. Tunahitaji uono mpana nje ya mipaka ya tafakuri kulitambua hili.

A generation full of hatred, envy and frustrations / stress. Tunaishi kizazi cha washindwa. Kizazi cha msongo mkubwa wa mawazo. Kizazi cha vurugu za kimaono, kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Kizazi cha kutaka short cut! Na usidhani ni vijana ama ni umri. La hasha. Ni kizazi kilichowazoa mpaka viongozi na waheshimiwa ambao kwa makosa makubwa kabisa wamekabidhiwa dhamana ya kuongoza!!!

Kizazi hiki cha chuki kinaenda kwa madaraja. Kuanzia kwenye social media mpaka kwenye duru za uongozi wa nchi siasa na usalama. Tunaziishi nyakati.

Nyakati ambazo unapokuwa na mtazamo tofauti na wengine wewe ni adui. Nyakati ambazo unapokuwa na kitu cha ziada kuwazidi wengine wewe ni mjuaji.

Nyakati ambazo unapotumia muda wako mwingi kwa jamii unaambiwa kuna kitu unatafuta. Madaraka, sifa au cheo.

Mitandoni tunawaona wapondaji wa watanzania wenzetu waliofanikiwa kutoka kimaisha nchini na kimataifa.

Wapondaji wa Hasheem Thabit. Mcheza kikapu Ulaya
Wapondaji wa Mbwana Samatta. Mcheza kabumbu Ulaya
Wapondaji wa Diamond. Msanii wa muziki aliyetutoa kimasomaso Tanzania.

Ukija kuwaaangalia wote ni kapuku wasiomiliki chochote cha maana. Ni washindwa!

Achana na hao njoo kwa wanasiasa washindwa waliojawa na fukuto la chuki. Ona wanavyotangaza kiama cha mauaji kwa wale wanaotofautiana nao kimtazamo. Unabaki na mshangao

Chuki za mafanikio kwa wengine. Chuki za tofauti kimtazamo ndo gumzo maarufu nyakati hizi.
Mbaya zaidi nobody cares. Iwe kiongozi wa kidini.
Iwe kiongozi wa kisiasa
Ama iwe kiongozi kwa taaluma.
Hata mitandoni hakuna restrictions. Yoyote anaweza kusema chochote kwa yoyote ni chuki chuki chuki.

Hatushangilii ushindi wa wengine. Hatushangilii kupata kwa wengine. Hatushangilii mafanikio ya wengine.
Wakipigika na kufanya jitihada za mafanikio na kupata zaidi hatusemi kitu. Wakifanikiwa tunawaponda mwanzo mwisho!! Heri kukutana na mchawi kuliko mshindwa anayedhani kushindwa kwake kuna mkono wako.

Hali hii imesababisha kuwafanya wazawa kuwa tayari kuwasaidia wageni wakuja kuliko kumsaidia poti. Hali hii imesababisha hata wazawa kushindwa kutambulishana huko ughaibuni. Wako wako tayari kuukana utaifa wao ili tu wasijulikane wao ni akina nani.

Ukiona kuna haters ndani ya JF usiwalaumu wala kuwachukia. Hawa ni sehemu ya wale washindwa wengine huko kwingine kote. Unachoweza kufanya ni mawili aidha kuwapotezea mazima AMA kuwaelimisha kwa weledi!? lakini je mshindwa ni mtu wa kuelimishwa? Changamoto iko hapa...!!!!

Jr™️
Kama JPM haters! Wasamehewe...
 
Hivi ndivyo jamii ilivyo,nothing you can do!

Hakuna haja ya kulalamika hapa

Kama haya nayo unayalalamikia nadhani sijui utafute dunia ingine ya kwenda,hii ndio exactly tabia halisi ya sisi wanadamu,nothing less!

Mtu uliefanikiwa to be 1% una thick skin to handle all of these,kama huwezi hukua na sababu ya kua 1%!

Another thing,even to discuss how people perceive you ni wastage ya muda na pia ni kutafuta attention ya hao watu wanakuchukia which is even useless!

Haya yote ni exactly what humans are wired to do,na kumbuka we humans are capable of more bad things than this,even killing which make these up pieace of cake!
 
Mimi si mwanasiasa Wa MTU Wa chama Ila nakubali watu na mambo yao,namkubali rais wetu ni rais anaejua mambo,anajua nini maaana ya uongozi ,hasa katika maswala ya usimamizi,namkubali waziri jafo na mkuu Wa mkoa Wa Dodoma ni watu Wa haki na hawachoki kusikiliza watu,namkubali halima mdee ni mwanamke shupavu no matter wht, she is always strong,namkubali Tundu lissu sheria imelala pale ni giveth from GOD, namkubali waziri mkuu kassim majaliwa ni waziri anaetumia umakini wa hali ya juu,
 
Unaweza kushangaa ama kuumizwa na yanayoendelea Tanzania na nje ya mipaka yake. CHUKI iliyopitiliza kwenye lolote kwenye chochote. Jamii imeathirika na kuathiriwa. Sio siasa sio awamu ni kizazi tulichonacho. Pamoja na kwamba siasa zinaweza kuwa kichokoo lakini nyakati ndio kiasili na msingi. Tunahitaji uono mpana nje ya mipaka ya tafakuri kulitambua hili.

A generation full of hatred, envy and frustrations / stress. Tunaishi kizazi cha washindwa. Kizazi cha msongo mkubwa wa mawazo. Kizazi cha vurugu za kimaono, kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Kizazi cha kutaka short cut! Na usidhani ni vijana ama ni umri. La hasha. Ni kizazi kilichowazoa mpaka viongozi na waheshimiwa ambao kwa makosa makubwa kabisa wamekabidhiwa dhamana ya kuongoza!!!

Kizazi hiki cha chuki kinaenda kwa madaraja. Kuanzia kwenye social media mpaka kwenye duru za uongozi wa nchi siasa na usalama. Tunaziishi nyakati.

Nyakati ambazo unapokuwa na mtazamo tofauti na wengine wewe ni adui. Nyakati ambazo unapokuwa na kitu cha ziada kuwazidi wengine wewe ni mjuaji.

Nyakati ambazo unapotumia muda wako mwingi kwa jamii unaambiwa kuna kitu unatafuta. Madaraka, sifa au cheo.

Mitandoni tunawaona wapondaji wa watanzania wenzetu waliofanikiwa kutoka kimaisha nchini na kimataifa.

Wapondaji wa Hasheem Thabit. Mcheza kikapu Ulaya
Wapondaji wa Mbwana Samatta. Mcheza kabumbu Ulaya
Wapondaji wa Diamond. Msanii wa muziki aliyetutoa kimasomaso Tanzania.

Ukija kuwaaangalia wote ni kapuku wasiomiliki chochote cha maana. Ni washindwa!

Achana na hao njoo kwa wanasiasa washindwa waliojawa na fukuto la chuki. Ona wanavyotangaza kiama cha mauaji kwa wale wanaotofautiana nao kimtazamo. Unabaki na mshangao

Chuki za mafanikio kwa wengine. Chuki za tofauti kimtazamo ndo gumzo maarufu nyakati hizi.
Mbaya zaidi nobody cares. Iwe kiongozi wa kidini.
Iwe kiongozi wa kisiasa
Ama iwe kiongozi kwa taaluma.
Hata mitandoni hakuna restrictions. Yoyote anaweza kusema chochote kwa yoyote ni chuki chuki chuki.

Hatushangilii ushindi wa wengine. Hatushangilii kupata kwa wengine. Hatushangilii mafanikio ya wengine.
Wakipigika na kufanya jitihada za mafanikio na kupata zaidi hatusemi kitu. Wakifanikiwa tunawaponda mwanzo mwisho!! Heri kukutana na mchawi kuliko mshindwa anayedhani kushindwa kwake kuna mkono wako.

Hali hii imesababisha kuwafanya wazawa kuwa tayari kuwasaidia wageni wakuja kuliko kumsaidia poti. Hali hii imesababisha hata wazawa kushindwa kutambulishana huko ughaibuni. Wako wako tayari kuukana utaifa wao ili tu wasijulikane wao ni akina nani.

Ukiona kuna haters ndani ya JF usiwalaumu wala kuwachukia. Hawa ni sehemu ya wale washindwa wengine huko kwingine kote. Unachoweza kufanya ni mawili aidha kuwapotezea mazima AMA kuwaelimisha kwa weledi!? lakini je mshindwa ni mtu wa kuelimishwa? Changamoto iko hapa...!!!!

Jr™️
Thanks Mr. Mshana, Message Delivered. "EGO IS THE ENEMY"
 
Usisahau watoto wote wanataka kua kama d-mond, shule imekua ngumu kwao,na wengine watakua watu wa hatari kuna umuhimu wa kuanzisha mafunzo ya vitendo Kama Seremara,kupaka rangi, welding, ufundi ujenzi na viboko virudi palepale kuanzia primary mpaka sekondari ama sivyo tutajutia watoto wanaokua kipindi hichi
 
Mkuu, HEKO KWA KUYAONA NA KUSEMA.

CHA SHANGAZA ZAIDI, KIZAZI HIKI HAKIPO WAZI KUONESHA CHOCHOTE ILI IWE MFANO KWA WENGINE KUIGA KWA MUSTAKABALI ULIO BORA. PIA HAKITOI MAONI YAO KAMA NJIA MBADALA KWA AJILI YA UELEKEO ULIO CHANYA. BADALA YAKE NI MATUSI, KASHFA NA UKOSEFU WA ADABU. KINAISHIA KUOMBEA MABAYA YATOKEE (KAMA VILE MWENYEZI MUNGU ANAWASIKIA) ILI KUFURAHISHA NAFSI ZAO
 
Bongo ukifanikiwa unachukiwa waziwazi,,, ila sisi kazi kazi kwa maana... unanichukia hata hunisaidii,, unanitukana hata sifuatilii...

By Young killer msodoki
 
Mkuu, HEKO KWA KUYAONA NA KUSEMA.

CHA SHANGAZA ZAIDI, KIZAZI HIKI HAKIPO WAZI KUONESHA CHOCHOTE ILI IWE MFANO KWA WENGINE KUIGA KWA MUSTAKABALI ULIO BORA. PIA HAKITOI MAONI YAO KAMA NJIA MBADALA KWA AJILI YA UELEKEO ULIO CHANYA. BADALA YAKE NI MATUSI, KASHFA NA UKOSEFU WA ADABU. KINAISHIA KUOMBEA MABAYA YATOKEE (KAMA VILE MWENYEZI MUNGU ANAWASIKIA) ILI KUFURAHISHA NAFSI ZAO
[emoji120][emoji123][emoji109]
 
Mshana hiki ulicho andika ni sahihi kwa asilimia mia

But what should be done?? Unajua hata ile ya mauki alikosea ila watu walienda beyond kwa chuki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom