Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,230
- 871,689
- Thread starter
- #21
Hili ni ngumu kulitelekeza na zindiko lina limitations zake.,. Kuna kitu zaidi ya zindiko tunatakiwa kufanya... Kwa umoja wetu... Kuiponya jamii inayoumwa sana
Jr[emoji769]
Lakini mkubwa mshana hivi hakuana njia ya kufanya zindiko maalum la kuwabadili mindset hawa watu wa type hii maana wanawaumiza sana watu halafu nahisi hawapo tu Africa maana ukiusikiliza wimbo wa God's plan wa Drake utagundua hata kule US watu wa aina hii bado wapo sana
Jr[emoji769]