Kizazi cha Bonanza

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,412
26,892
Sijui bongo tunatengeneza kizazi cha ina gani. ?

Hii mikamari ya bonanza ni janga na wahusika wameshafeli kuidhibiti. (huu ni upuuzi)

Haya madubwashwa yanawekwa wekwa tu kama maandazi bila udhibiti wowote. Watoto wanayachezea haya madubwasha na wahusika wapo kimyaaaa. Sijui pesa wanatoa wapi? Tunaunda kizazi cha dokoa dokoa bila kujua.

Wachezeshaji na wachina wanasaka faida tu bila kuzingatia vitu vingine (upuuzi mtupu)


***** mchina.
Screenshot_20190319-152417.jpeg

Huyu kashapata cheji kaunta anapambana na mchina

IMG_20190319_150753.jpeg

Huyu anaomba chenji kaunta

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom