Perceptional of the inner mindUmesema ":Fanya jaribio hili usiku wa leo......zima taa zote kisha anza kuwaza(kutaswiri,au kuwaza na kutaswiri)kuhusu vibwengo,masgetani,majini,vinyamkera,n.k.,...utaviona live. ""
Lakini pia ukifumba.macho,ukiviwaza hivi vitu,utaviona. . Ukimuwaza Yesu pia utamuona.
Mimi nilibase sana kwa Kuan ing ( kua in)pussa (bodhisattva) ilifika mahali hasa usiku mtulivu wakati ukisikiliza chanting kuna vitu unaviona katika uhalisia wa ajabu hasa maumbo ya hao deities na hata Mungu mkuuMshana,Jr.umesoma hizi tantra ambapo mtu anawaza mandala,kasri, ya Deity. Anamfikiria Deity yumo mule ndani na consort wake. na huyo Deity anakuwa NA sura nyingi na mikono mingo na katika mikono ameshika vitu tofauti. Halafu wapo walinzi katika hiyo Kasri.
Jana usiku kucha nilikuwa nasikiliza tantra katika YouTube:anuttara yoga. Tantra lama vile kalachakra,guhyasamaja,hevajra,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa sikuisoma kwa makini hii reply yako umenikumbusha mganga mahela RIP alipiga sana hela kwa njia hiyoWakati naskilizia kwenda chuo, kipindi kile ukimaliza F6 unasubiri mwaka mzima kuingia chuo, kitaani choka mbaya.
Mshikaji tu, mganga njaa,akanipa deal. Ana mteja mjeshi, anataka kumpiga hela ndefu. Akanimbia twende Makaburini saa 7 usiku.
Mchezo utakuwa. Mimi nijifiche jirani na kaburi ambalo yeye atafanyia kazi. Kisha yeye na mteja wake watakuja na yeye kufanya KISOMO kwa sauti, wakati wa kisomo akanambia niwe natoa muungurumo wa ajabu mixer ya mlio wa Punda na Ng'ombe. Na akizidi kusoma na Mimi nizidishe kelele. Kweli nikafanya kama nilivoagizwa.
Si mchezo. Ugali mtamu. Cinema ilivoanza, hata dk 3 hatukufika. Mjeshi alitoka mbio. Aliacha mpaka pick up yake waliokuja nayo na MGANGA wangu. Aisee. Giza noma sana.
Bora nimefungua asubuhi, ningefungua usiku ningesweat kwa uoga
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bora nimefungua asubuhi, ningefungua usiku ningesweat kwa uoga