Ha ha ha ha Mshana uliweka sura yangu humu
ha ha ha ha Mshana nitamshtaki aisee
Sema mashtaka yako yatakosa mashko sheria imeanza kabla ya picha kurushwa.ha ha ha ha Mshana nitamshtaki aisee
inamaana sheria haiwezi kurudishwa nyuma?Sema mashtaka yako yatakosa mashko sheria imeanza kabla ya picha kurushwa.
Sheria sio EX shekh useme mtakumbushia enzi...inamaana sheria haiwezi kurudishwa nyuma?
ha ha ha ha...sawa sawa!!
Nakusalimu Mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] si mchezo kwa kweli[emoji120] [emoji120] [emoji120] vyuma kaka View attachment 691505