hee we ubibi umeupata wapi? na maufundi yote hayo??
Ni mke wa babu yangu Asprin.Sasa wewe baba wa chovya chovya ujiangalie
Kweli mjukuu unanipenda bibi yako
Nakupenda sana na sitaki uchepuke kwa huyo bazaz maana hachelewi kuja kukutangaza hapa
Owh!!!!! Mi sichepuki bwana sichepuki kabisa sjui babuyo maana hapitwi na sketi
Yule inabidi mvumilie tu maana anazeeka vibaya
Najitahid kumvumilia kweli
hata mi sijapaonaEeeh mi sijaona hapa
Nimekuona mahaliView attachment 200921
😛hoto:😛hoto::rapture:
Si ilikuwa saa 5?au wewe haupo tz?
Ahhha mie huyu mjukuu wangu ati we rudi ndani huko sijamaliza kaz yangu
Tena ameadimika sana utasima shilingi ya mkoloni
nakusubiria ujue..
Ananifanya hajasikia ujue
nipo.......mkongwe upo ww
Kuna uzi wetu kulenipo.......
Nitapita mkuuKuna uzi wetu kule