kiwanja na matofali bei sawa na bure

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
524
132
kiwanja -kihonda.jpg kionda kiwanja.jpg
kipo morogoro -mazimbu road mkabala na kota za lapf kama sio nssf.
kina tofali elfu 10 na lori tano za mawe.

bei ni 8,500,000 za kitanzania ukubwa ni mt 33 kwa 33 kwq 55 kwa 14 kwa 22 chora chini utaelewa kimekaa kama saba (7) au l. shanielewa.
sababu za kuuza- nimehamishwa kikazi morogoro.

0754026030 nicheki
 

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
524
132
oh ni kitambo kweli mkuu vipi unakiuza bado au ulishaghairi
ninakiuza mkuu na kwa sasa nimezungukwa na mjumba mara ya mwisho kwenda nilipasahau. umeme ushafika kwasasa tunasubiri morowasa walete maji ya bomba ila majirani wanatumia visima vifupi kupata maji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom