Pata Kiwanja bei sawa na bure

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Kiwanja tambarare bila muinuko chenye ukubwa wa mita 20/40 kinauzwa.... (Hivi ni viwanja viwili vya mita 20/20).
Kipo kiluvya mbele ya kwa sumaye
Kituo unachoingilia kutokea morogoro road ni kiluvya madukani.
Kiwanja kina documents za serikali ya mitaa na mchakato wa kufwatilia hati za wizara ya ardhi unaendelea katika ngazi ya kata kwa viwanja vyote vya eneo hilo.

Bei ni milion 4 ila maongezi yapo.
Kwa maswali yoyote kuhusu eneo hili, kuona na mengineyo mpigie Erick kwa namba 0657002544.

Asanteni.
 
Sorry, wewe ndio Jesca?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom