Karibu sana mkuuSawa nimekupata
Poa poa mkuu,karibu sanaNgoja nije kukicheki happ
Vyote vipoMaji na umeme?
KipoHiki kiwanja Bado kipo?
Milion 640.kwa 20 ni shilingi ngapi?
Karibu40.kwa 20 ni shilingi ngapi?
Duh,nimechelewa kuingia apa ,nilikua majukumu kidogo,samahani mkuu,nimekutumiaSaiv niko mbezi nije nikione ikibid biashara ifanyike
Kimepimwa?Milion 6
Ndio kimepimwqKimepimwa?
Eti kuna shule!, nikupe contact ya walimu wa hiyo shule wakutue mzigo mkuu?Kumejengeka sana na Kuna shule apo kama Mita 150 tu
Habari mkuu, upande wa viziwaziwa na simbani kuna tofauti gani? Ikiwemo bei na jiografia?Upande upi? Viziwaziwa?