Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

G

guest-1788672427

Guest
Ninauza kiwanja changu

kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514
Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu,
Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa galagaza.

KIWANJA KINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA.UMBALI KM 5 KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI 6M
Sq merter 500+

Mawasiliano 0754088347
 

Attachments

  • video_without_writing-1.mp4
    70.4 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom