Kiwanja kinahitajika

Toa maelekezo ya umbali wa kufika huko salasala kutoka barabara kuu kwa faida ya wengine pia watakao kuwa interested...

Kiwanja kipo about 3km kutoka bagamoyo road, about 300m kutoka barabara kubwa ya salasala/afrikana
 
Kaka kwa maeneo hayo uliyoyataja, sijui kama utapata. Mimi ninacho, Tsh m. 18 mita 25 kwa 45, roughly, kama unaweza nipigie 087001207. Kipo Mbezi kwa Yusufu eneo la Michungwani Kina la ulichosema umeme, barabara etc
 
Njo Mivumoni nikuuzie nataka hiyo Saba kamili Nina shida no pm
Mivumoni ndo wapi mkuu?ebu toa maelekezo ya kutosha kuhusu kiwanja na sehemu kilipo interms of umbali kutoka barabara kuu
 
Kaka kwa maeneo hayo uliyoyataja, sijui kama utapata. Mimi ninacho, Tsh m. 18 mita 25 kwa 45, roughly, kama unaweza nipigie 087001207. Kipo Mbezi kwa Yusufu eneo la Michungwani Kina la ulichosema umeme, barabara etc
Ahsante kwa offer yako mkuu lakini uwezo wangu ndo ulipoishia million 7 tu siongezi wala sipunguzi
 
Viwanja bado vipo maeneo ya mkuranga vikindu karibu na barabara kila ekari ni tshs. 700,000/= pia kama unahitaji vingine vipo maeneo ya Naga,o..bagamoyo napo ekari moja ni shs.700.,000/= wahi maeneo yanagombaniwa sana....
 
hahahaha maeneo yanagombaniwa mkuu?ngoja niwahi
 
Habari zenu wakuu

Nahitaji kiwanja kiwe kati ya maeneo ya tegeta,tabata,kimara au mbezi ya kimara na maeneo ya kongowe ya mbagala....

kiwanja kisiwe mbali kutoka barabara kuu,kiwe kinafikika kwa urahisi kwa gari,kiwe jirani na huduma muhimu kama umeme na maji na kiwe tambarare...

Nikipata maeneo ya boko au bunju au madale itakuwa bora zaidi...

Bajeti yangu ni mil 7 tu....
Wakuu bado sijapata kiwanja katika maeneo niliyokuwa nayahitaji....kama kuna mtu yoyote anakiwanja maeneo tajwa anijulishe wakuu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom