Natafuta Kiwanja Madale

Natafuta Kiwanja Madale

Liky

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
431
Reaction score
255
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Tegeta, Madale.

Ukubwa: sqm 450-500.

Budget: 15m.

Nitafurahi sana kama ntapata kutoka kwa mmiliki mwenyewe na kisiwe na migogoro.

Mwenye nacho naomba ani PM
 
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Tegeta, Madale.

Ukubwa: sqm 450-500.

Budget: 15m.

Nitafurahi sana kama ntapata kutoka kwa mmiliki mwenyewe na kisiwe na migogoro.

Mwenye nacho naomba ani PM
Kuwa makini huko nasikia kuna maeneo yana mgogoro na DDC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom