Kiwanja chenye hati kinauzwa Manispaa ya Morogoro.

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,551
12,417
Kiwanja chenye Hati miliki/tittle deed, ukubwa wa ujazo (Square meter) 954 (ujazo wa kati yaani medium density)kipo kwenye mradi wa Madaganya Manispaa ya Morogoro, Barabara ya Morogoro-Iringa.

Kiwanja kipo Ndani ya Manispaa ya Morogoro, Km 7 kutoka Morogoro mjin, kinakaribiana na chuo kikuu cha Mzumbe.

Kiwanja ni moja ya vile viwanja vilivyokuwa chini ya mradi wa UTT na baadae kuwamilikisha watu binafsi.

Miundo mbinu yote muhimu (Maji na Umeme) imefika katika eneo la viwanja.

Bei ni TZS 12M (negotiation allowed)

Kwa mawasiliano Piga simu Namba 0715048222

Wekeza kwenye Ardhi kwa manufaa ya sasa na baadae.
 
Karibu mkuu eneo hili wamiliki wengi ni wahadhiri wa Chuo kikuu mzumbe, maafisa wa Kiwanda cha Tumbaku na Maafisa wa Shirika la Mzinga.

So ni eneo la ushuani design fulani!
Aisee kumbe madaganya kumechangamka hivo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom