Kiwanja kinahitajika Tabata, mbezi au kimara

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wana JF, kiwanja kinahitajika katika maeneo tajwa kisiwe bondeni pia pawe panafiika gari, umeme na maji yawe karibu. Kama unacho taja eneo, ukubwa na bei
 
Nenda mbezi magohe vimejaaa mpaka kero ila..... Marry X-mas kwanza🎄🎄🎄🎄
 
Ungeaja offer yako ingekua vizuri zaidi mkuu
Habari wana JF, kiwanja kinahitajika katika maeneo tajwa kisiwe bondeni pia pawe panafiika gari, umeme na maji yawe karibu. Kama unacho taja eneo, ukubwa na bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom