Duuh imefikia hapo.Karibu sana.
Kumbuka kunywa ze laga mchana ni kosa la jinai hapa Arusha.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ahsante ntakujulisha nikifika
ulichoandika kama jina lako vileeMmmmh!
Karibu Sakina Rounge! Kuku wa kienyeji wanachomwa kitaalamu sana! Huwa wanavishwa nepi kwanza.
Unaacha wapi Club D.....Karibu sana arusha kwa kuku choma nenda sakina lounge, milestone, first left na bonden bar kijenge.