Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Wala usihangaike kabisa kula hela yako.Habari ya usiku wapendwa, watu wa Arusha naomba maelekezo nisaidieni nakuja kwenu, sijui viwanja vikali vya kula raha. Naskia kuna baridi sanaaa nisaidieni hotel nzuri ni ipi, sehemu yenye kuku choma/nyama choma nzuriii
[emoji7]
ha ha hakaribu sana R.Chuga dada angu ila kwakua chalii angu asigwa amekwisha kukupa mchongo mimi sina mengine ya kubonga zaidi karibu sana asee
ah! Masta mimi mlala hoi bana mtoto mkali kama huyu anaweza kunisababishia ufukara asee!ha ha ha
mkuu huna offer ya kumpa mtoto mzuri.??
Changamkia fursa hio aisee
Ahsante ntakujulisha nikifikaWala usihangaike kabisa kula hela yako.
Ukifika Arusha nitafute, uleko hela yangu kidogo.....
Au hupendi kula hela ya tanzanite??
teh teh tehah! Masta mimi mlala hoi bana mtoto mkali kama huyu anaweza kunisababishia ufukara asee!