Kiwango gani cha mtu kuitwa msomi?

Gai da seboga

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
478
962
Habari wakuu.

Ningependa kufahamu ni kiwango gani cha elimu mtu akifikia anastahili kuitwa msomi?

Je, akijua kusoma na kuandika anastahili kuitwa msomi? Au akimaliza elimu ya msingi anafaa kuitwa msomi? Au kuitwa msomi kunaanzia ngazi ya elimu ya sekondari (O-level & A-level)? Au ni ngazi ya Astashahada, Stashahada, Shahada, Uzamili, Uzamivu hadi Uprofessa?

~Gai da seboga
 
Hata drs la saba ni msomi.
Kwani ni kiwango gani cha pesa mtu anakua nazo hadi tunasema fulani ana pesa au fulani hana pesa. No floor and no ceiling. Hata wewe hapo tunakuona una pesa na wewe ni msomi.
 
Kiukweli kwa tafsiri halisi msomi n mtu yeyote mwenye uwezo wa kusoma bila kujali kiwango chake Cha elimu aliyonayo.....
Lkn kwa maana ya mtaani na watz wengi msomi humaanisha mtu yeyote mwenye elimu ya chuo hasa kuanzia degree moja nakuendelea.
 
Habar wakuu....

Ningependa kufahamu n kiwango gani cha elimu mtu akifikia anastahili kuitwa msomi??

Je akijua kusoma na kuandika anastahili kuitwa msomi? Au akimaliza elimu ya msingi anafaa kuitwa msomi? Au kuitwa msomi kunaanzia ngazi ya elimu ya sekondari (O'level & A'level)?? Au n ngazi ya astashahada, stashahada, shahada, uzamili, uzamivu hadi uproffesa??





~Gai da seboga
ukishajua kuhesbu,kusoma na kuandika halafu ujue kuongea na kiingereza vizuri
 
Hata drs la saba ni msomi.
Kwani ni kiwango gani cha pesa mtu anakua nazo hadi tunasema fulani ana pesa au fulani hana pesa. No floor and no ceiling. Hata wewe hapo tunakuona una pesa na wewe ni msomi.
Kwahyo kuanzia la saba tunastahili kumuita msomi??
 
Inatokana na unataka 'kujimwambafai' kwa mtu wa level gani...

Kama upo la 7A unaweza kumwambia mwenzako wa la 7C kwamba wewe ni msomi..
Ukiacha sasa kuvimbaa kwa kumtajia mkondo unaosoma... Rasmi n kiwango kipi tutambue kuwa n msomi? La saba au??
 
You are right. Umesahau juzi juzi tu kuna jamaa ex la saba ametengeneza umeme huko Iringa na Njombe mpaka mashine za kusaga nafaka zinasaga. Yule kama si msomi ni nini?
Sio kwamb amebarikiwa akili nje ya mfumo wa kielimu..
 
Back
Top Bottom