Kiwango cha umaskini kikipungua kiwango cha kustarabika huongezeka

Kiwango cha umaskini kikipungua kiwango cha kustarabika huongezeka

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,171
Jaribu tu kufuatilia hili swala utagundua.
Yapi maoni yako kuhusu hili?
Screenshot_20250728_230508_X.jpg
 
yapo mengi tu hata viongozi wanaleta mambo ya ajabu kutokana na uwezo wa watu wanaowaongoza!.

ukipeleka kiongozi wetu huku akaongoze marekani anaweza akachemka vibaya mno maana atakutana na vitu vya tofauti na changamoto za tofauti mno asipokimbia basi atafungwa!, ustaarabu walionao wenzetu ni tofauti na huku maana utajiri huendana na ustaarabu kuna tabia mtu anakuwanazo akiwa tajiri na pia akiwa maskini.
 
Back
Top Bottom