Kiwango cha mwendokasi Chang'ombe

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,117
1,425
Najaribu kutafakari kwa kiwango cha ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kati ya JKT kilwa Road mpaka Chamgimbe, kiwango cha ujenzi kiangaliwe
.
1.Kingo za barabara hazijanyooka
2.Tofali za pembeni zinamegeka
3.Baadhi ya chamber mifuniko imefumuka
4.Zege inamawimbi.
5.La mwisho, barabara moja ya magari, daladala akipakia/kushusha nyuma ni foleni.

Tunaomba wasimamizi waangalie haya
 
Mkandarasi wa bei nafuu baada ya kushindwa kumleta mjerumani aliyetengeneza phase 1 na 2
 
Hapa leko hii mwendo kasi imefosiwa tu ilikuwa kusiwe na mwendo kasi hapa sijui watu watapita vip
 
Back
Top Bottom