ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,437
Kila nikilinganisha kiwango cha ujenzi cha mradi wa barabara za ya mwendokasi ya Gerezani-Mbagara (PHASE III) na kile cha PHASE I&II napata mlinganisho ambao sio sawa kwa viwango tofauti national ipo wazi sana.
1. Jana nilikwua napita ktk njia za watembea kwa miguu ambazo zimejengwa chini ya miezi miwili, njia yote ina mabonde mabonde.
2. Capstone nyingi zineshamegeka megeka ktk kona zake.
3. Viguzo ktk vivuko nyingi zineguswa zimeshaanguka.
Wahusika wachukue hatua kabla ya mkandarasi hajatoka site.
Hatujachelewa.