Acha dharau kwenye imani za watu choko wewe,, endeleeni kumjadili mwanaume mwenzenu huku yake yanamuendea , wakati nyie wenye masters bado mpo na makaratasi yenu mnazunguka nayo.
Acha dharau kwenye imani za watu choko wewe,, endeleeni kumjadili mwanaume mwenzenu huku yake yanamuendea , wakati nyie wenye masters bado mpo na makaratasi yenu mnazunguka nayo.
Kama na wewe unaona rahisi kwenda ulaya na wewe nenda kwa hicho hicho kitu unachokifanya hata kama unauza mkaa pia ulaya wanapikia mkaa jitahidi uende ulaya ukauze -Ibrahim Ajibu
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Unauliza jibu upo dsm lakini umejichimbia bunyokwa tembea na wengine ukikutana nao huwezi kuamini utaishi kwa hofu ni wakubwa sana
Kuna tukio moja nilishuhudia mlimani pale sijawai msimulia mtu maana nahisi kama nafwatiliwa ni jamaa mtu mkubwa sana hapa tz na ana heshima kubwa sana niishie hapo