ANDENDEKISYE C
Member
- Mar 5, 2012
- 90
- 23
Ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatarajia kuanza kusaga nafaka kwa wingi, anauliza sehemu anapoweza kupata kiwanga kidogo cha kusaga nafaka kama mihogo na mahindi, lakini pia mahali pa kuweka kuhifadhia kwenye mifuko na label maalumu(Pakaging), mwenye uzoefu huo tafadhali.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani