Kiwanda cha Yebo Yebo kipo maeneo gani Kisemvule?

Kiwanda cha Yebo Yebo kipo maeneo gani Kisemvule?

setumbijj

New Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4
Reaction score
2
Jamani naomba kuuliza kinapopatikana kiwanda cha kutengeneza yebo yebo kwa Kisemvule. Nataka nianze kufanya biashara hiyo nikanunue nipeleke sehemu nikauze.

Kwa mnaofahamu hata bei za jumla hapo tafadhali naomba mnisaidie, na mawasiliano pia.
 
Mimi bei za yeboyebo zisijui lakini nakupa ramani ya kufika hapo kiwandani kama upo dar ,nenda temeke mwisho au kama upo mbagala rangi tatu panda magari yanayokwenda MKURANGA mwambie kondakta unishushe kituo kinaitwa yeboyebo ,yaani upande unaoshukia ndio upande ambao unamlango wa kuingia .
 
daah asant sana ndugu yangu..hata hivyo umenisaidia ramani,naamini nikifika nitauziwa kwa bei rahisi zaid kuliko kulangua kwa wachina k.koo
 
Mimi bei za yeboyebo zisijui lakini nakupa ramani ya kufika hapo kiwandani kama upo dar ,nenda temeke mwisho au kama upo mbagala rangi tatu panda magari yanayokwenda MKURANGA mwambie kondakta unishushe kituo kinaitwa yeboyebo ,yaani upande unaoshukia ndio upande ambao unamlango wa kuingia .

Jina la kiwanda kinaitwaje ?? Mchawi Google Maps Tu.
 
coincidence au ? , yaani unaulizia ichi kiwanda, na leo kimeshika moto ?
 
Back
Top Bottom