Kiwanda cha Subash Patel chapata Ajali ya kuwaka Moto!

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,961
2,138
Muda wa saa nane na nusu mchana nimeletewa taarifa na rafiki yangu kwamba kasikia kutoka radio kwamba: Habari mpya mpya (Breaking News): Kiwanda cha Nondo cha Mikocheni kinawaka moto. Nimesituka sana, na muda huu nachungulkia kwenye jamvi letu JF sioni hii habari. Kuna mtu mwenye taarifa kamili atupe uhakika???
 
Bad news! Hiki kiwanda cha Shubash Patel ni muhimu mno kwetu/kwa construction industry (pamoja na kwamba yeye ni f***di).
 
Walichoma mahotel Bwagamoyo hawa ili walipwe fidia/bima vile soko la utalii lilidrop....sidhani kama ni moto tu.
 
Bad news! Hiki kiwanda cha Shubash Patel ni muhimu mno kwetu/kwa construction industry (pamoja na kwamba yeye ni f***di).

Bad news?? do you really think so?
Subash Patel has a good track record of his "burning" businesses.
Sea Cliff hotel "fire" was promptly assesed and has probably been handsomely paid billions.
Now MM Steel got "burnt" and will be paid handsomely.
There is so much accumulated Isurance money that needs a spending outlet, the smart fisadi guys are at it! Where there is accumulated funds the fisadis will have a way to get it.
The Contractor for the "burnt" businesses, who else?-Estim of course!
 
Duh ngoja tusubili kitakuwa MM steel cha Subash Patel sio?

Ndo hicho huo ulinzi uliokuwa hapo si wa kawaida askari wamezunguka kiwanda chote, kamanda wa polisi wa kinondoni alikuwepo, helkopta inazunguka juu kulinda usalama lakini hakuna aliyejeruhiwa.
 
Labda anajiandaa kutorokea kwao INDIA baada ya ufisadi wake kugundulika hivyo anatafuta fedha za bima aende nazo kwao.
 
Hiki kiwanda lazima kilindwe sana kwani inasemekana kuwa T-shirts, khanga, kapelo na scalfs za CCM za uchaguzi wa mwaka kesho zinahifadhiwa kwenye maghala ya Subash hapo MM steel!!
 
Back
Top Bottom