LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,338
- 6,427
mkuu hoja ni kwamba mficha uchi hazai, ila kutokana na kampani utakayokuwa nayo itafika siku malezi yatakushinda kutokana na kuwa mkuza mmea kichwani. naongea kutokana na uzoefu.Hao ni wale ambao hawafanyi kazi, muda wote maskani
Mimi pia naongea kutokana na uzoefu japo tunatofautiana wewe unaongea kwa uzoefu wa kuona me naongea kwa uzoefu wa kutumia, mkuu hao unaowaongelea wewe ni wale vijana "wahuni" wasiopenda kufanya kazi! Muda wote wapo maskani wakivuta tu bangi lakini sio wote kama ilivyo pia kwa baadhi ya walevi wanaokaa bar asubuhi hadi jioni bila kufanya kazi yeyotemkuu hoja ni kwamba mficha uchi hazai, ila kutokana na kampani utakayokuwa nayo itafika siku malezi yatakushinda kutokana na kuwa mkuza mmea kichwani. naongea kutokana na uzoefu.
Hapo mara paap nawakaribisha Mirembe Dodoma
hongera kaka.wewe ni wachache katika wengi ambao wameshindwa kujitambua kwa vilevi vyao,Mimi pia naongea kutokana na uzoefu japo tunatofautiana wewe unaongea kwa uzoefu wa kuona me naongea kwa uzoefu wa kutumia, mkuu hao unaowaongelea wewe ni wale vijana "wahuni" wasiopenda kufanya kazi! Muda wote wapo maskani wakivuta tu bangi lakini sio wote kama ilivyo pia kwa baadhi ya walevi wanaokaa bar asubuhi hadi jioni bila kufanya kazi yeyote
Asante, na nimefurahi kwa mfano halisi uliotoa wa shemeji yako, hapa utajifunza kua bangi haina tatizo ila tabia za mtu ndio tatizo maana hili suala uliloliongelea hiyo tabia imeshamiri sana mitaani kwa sasa hivi na wengi wao hata hawatumii huu mmea, utaona hapo tatizo ni tabia ya mtu na sio ile dhana watu wanayo wakishajua unatumia bangi basi kila baya utakalofanya ni bangi imekutuma hili si kweli, kuna watu wengi wanayafanya kama haya na hawatumiihongera kaka.wewe ni wachache katika wengi ambao wameshindwa kujitambua kwa vilevi vyao,
ila mie nina shemeji yangu mwajiriwa ni hatari, ndumu mtu. ila dada anachompendea anasema shemeji yako ni mwaminifu sana japo mmea anakula na hajali watoto kabisaa..
Hao ni wale ambao hawafanyi kazi, muda wote maskani
Naongelea kazi halali tu hapa mkuuUkisema hawafanyi kazi unakosea isipokuwa tu wanafanya KAZI......
Kwa wenzangu wa huku mitaani kwetu watakuwa wameshanielewa kazi zao
Alafu mimi nipo hapa kuwakilisha wanaotumia mmea tu, sio hao wahuni/vibaka wanaotumia hadi unga na pombe ili walipuke wakafanye ushetani waoUkisema hawafanyi kazi unakosea isipokuwa tu wanafanya KAZI......
Kwa wenzangu wa huku mitaani kwetu watakuwa wameshanielewa kazi zao
Nilikuwa namjibu huyo aliyesema bangi ina madhara. To me sijaona madhara makubwa ya bangi..Nilishajifunza
Ukilinganisha na hivyo vingine vibaya ambavyo wamevifanya ni "legal"Nilikuwa namjibu huyo aliyesema bangi ina madhara. To me sijaona madhara makubwa ya bangi..
Yap...mmea uko poa!Ukilinganisha na hivyo vingine vibaya ambavyo wamevifanya ni "legal"
tupo pamoja mkuu..huu mmea hauna madhara yoyote mimi nimetumia tokea nikiwa shule na sijaona kilevi au starehe ambayo unaweza kufananisha na huu mmea..na ukifuatili marasi,wasanii,wanasayani na watu wakubwa hapa duniani wanatumia huu mmea sema watu wameukariri vibaya huu mmea kutokana na badhi ya watu ambao hawajielewi wanaotumia huu mmeaAlafu mimi nipo hapa kuwakilisha wanaotumia mmea tu, sio hao wahuni/vibaka wanaotumia hadi unga na pombe ili walipuke wakafanye ushetani wao
One Love! Mkuu ukweli umepotoshwa kwa kiasi kikubwa sana kuhusu huu mmeatupo pamoja mkuu..huu mmea hauna madhara yoyote mimi nimetumia tokea nikiwa shule na sijaona kilevi au starehe ambayo unaweza kufananisha na huu mmea..na ukifuatili marasi,wasanii,wanasayani na watu wakubwa hapa duniani wanatumia huu mmea sema watu wameukariri vibaya huu mmea kutokana na badhi ya watu ambao hawajielewi wanaotumia huu mmea