Kiwanda cha kutengeneza soda bandia chakamatwa

Kiwanda cha kutengeneza soda bandia chakamatwa

Unajua watu kama hawa wangewekwa chini na kuwezeshwa na kuendelezwa zaidi wangeweza kufanya mambo ya maana kabisa.

Safi kabisa...! :A S 41:
Hicho Kiwanda kipo Pakistani na sio Bongo.
 
Hicho Kiwanda kipo Pakistani na sio Bongo.

naamini hata bongo hivi viwanda uchwara vipo tu...
unaweza ukakuta unafungua soda halafu unakuta ndani kuna uchafu sidhani kama huwa ni product ya kiwanda halisi kama sio hivihivi vya wiziwizi
 
Hii ndio bongo bwana soda feki,bidhaa feki mpk tafiti feki..
 
Kiwanda cha kutengeneza soda bandia chakamatwa..

============

Bongo pengine madili kama haya ni zaidi ya mwaka watu wanapiga tu.
Walaji wanatakiwa kuwa makini sana!.Haya madili ni zaidi ya utengenezaji wa Soda ziko bidhaa nyingi unakosa jibu kama kweli zimetoka China au Ulaya -kuanzia Vyakula hadi Vifaa vya Ujenzi.

Shida hapa hakuna Chama cha Walaji chenye nguvu/Wateja/Wanunuzi.

 
Sijawahi kusikia wametengeneza bia fake. Asante ndovu
 
Back
Top Bottom