Mfagio JF-Expert Member May 13, 2014 647 682 Jan 11, 2024 #1 Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran.
Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Oct 18, 2010 56,608 93,356 Jan 12, 2024 #2 Mfagio said: Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran. Click to expand... Check open sanet pale Mandela road Tabata dampo karibu na auto mech.
Mfagio said: Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran. Click to expand... Check open sanet pale Mandela road Tabata dampo karibu na auto mech.
Omulasil JF-Expert Member May 5, 2015 7,424 9,359 Jan 12, 2024 #3 Sema hapa sijui iweje namba za hao wachina nikutumie.
Mfagio JF-Expert Member May 13, 2014 647 682 Jan 12, 2024 Thread starter #4 Omulasil said: Sema hapa sijui iweje namba za hao wachina nikutumie. Click to expand... Nakuomba unitumie utakuwa umenisaidia sana
Omulasil said: Sema hapa sijui iweje namba za hao wachina nikutumie. Click to expand... Nakuomba unitumie utakuwa umenisaidia sana
Mfagio JF-Expert Member May 13, 2014 647 682 Jan 12, 2024 Thread starter #5 Dr Matola PhD said: Check open sanet pale Mandela road Tabata dampo karibu na auto mech. Click to expand... Jana nilienda wao wanauza rejareja tu halafu izo boot nilizokuwa nataka hawana
Dr Matola PhD said: Check open sanet pale Mandela road Tabata dampo karibu na auto mech. Click to expand... Jana nilienda wao wanauza rejareja tu halafu izo boot nilizokuwa nataka hawana
Mfagio JF-Expert Member May 13, 2014 647 682 Jan 12, 2024 Thread starter #6 Omulasil said: Sema hapa sijui iweje namba za hao wachina nikutumie. Click to expand... Msaada wa namba
Omulasil said: Sema hapa sijui iweje namba za hao wachina nikutumie. Click to expand... Msaada wa namba
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,505 142,240 Jan 12, 2024 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Antonnia