Kiwanda cha Kuprint T-shirts

eugen mutta

New Member
Nov 28, 2015
1
2
Naitwa Eugen, nipo kigamboni.

Ninafanya kazi ya kuprint t-shirts na mpaka sasa naenda mwaka wa tatu katika fani hii. Huwa natoa mafunzo kwa wale wanaohitaji, kwa muda wa wiki moja, wiki mbili, na mwezi mmoja.

Pia natoa huduma nzuri kabisa za printing na kukufikishia popote ulipo na mikoani pia tunatuma nizigo.

0753-230-273 | 0789-091-185 | 0629-628-262
 
Unadarizi pia?

Back
Top Bottom