matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,639
- 15,451
afadhali mkojo kuliko MPApo akikojoa itakuaje
Apo akikojoa itakuaje
Hayo ni mafuta hamna hatari kwani we hupaki mafutaDaah! Ila huenda kuna utaratibu labda akiwa huko hewani basi wanaingia wengine mule kwani kama ni kile kitaulo kikinyonya hayo mafuta kisha kiendelee kubaki kwenye pichu hata ye mwenyewe atakuwa kwenye athari.
Kila kitu kikizidi kina athari Mkuu. Tofautisha yale ni ya kupaka.Hayo ni mafuta hamna hatari kwani we hupaki mafuta
Mkuu kwani huyo dada yupo CHIU?Aisee -- Ndio wa navyo tulisha hivyo? ? Kwanza inakuwaje mpaka wana fanyia uzalishaji chini kabisa kwenye ardhi halafu bado haitoshi wanaingia wakiwa uchi! !! Duh! !!!
Mkuu kwani huyo dada yupo CHIU?
HeheDaah! Ila huenda kuna utaratibu labda akiwa huko hewani basi wanaingia wengine mule kwani kama ni kile kitaulo kikinyonya hayo mafuta kisha kiendelee kubaki kwenye pichu hata ye mwenyewe atakuwa kwenye athari.
Ndio nilipoona ulivyoandika ikabidi nimzoom nikidhani kutokuvaa miwani nako kumechangia. 😀Mkuu --niliona vibaya ile nguo yake ya chini ni kama ma kalio yaliyo wazi aise
Yaani alinichanganya kabisa. .. aka nifanya niache kumshangaa yeye. ..Nikawa na washangaa Vijana wa kiume wanaoshirikiana nae katika kaziNdio nilipoona ulivyoandika ikabidi nimzoom nikidhani kutokuvaa miwani nako kumechangia.
Yah! Ile ni nguo lakini inarangi kama ya mwili.
Pole aisee! Ingekuwa hivyo tungejisemea ni kawaida yao kwani sehemu yenyewe inaonekana sio tulivu ya kumfanya mtu afanye hiyo kazi bila kuvaa nguo ya chiniYaani alinichanganya kabisa. .. aka nifanya niache kumshangaa yeye. ..Nikawa na washangaa Vijana wa kiume wanaoshirikiana nae katika kazi
Pole aisee! Ingekuwa hivyo tungejisemea ni kawaida yao kwani sehemu yenyewe inaonekana sio tulivu ya kumfanya mtu afanye hiyo kazi bila kuvaa nguo ya chini
Labda iakuwa anatoka Mkuu.Apo akikojoa itakuaje