Kiwanda cha kufyatua mafuta ya mawese. duu!!!!!!!!

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,570
15,319
1132040
 
Daah! Ila huenda kuna utaratibu labda akiwa huko hewani basi wanaingia wengine mule kwani kama ni kile kitaulo kikinyonya hayo mafuta kisha kiendelee kubaki kwenye pichu hata ye mwenyewe atakuwa kwenye athari.
Hehe
 
Ndio nilipoona ulivyoandika ikabidi nimzoom nikidhani kutokuvaa miwani nako kumechangia.

Yah! Ile ni nguo lakini inarangi kama ya mwili.
Yaani alinichanganya kabisa. .. aka nifanya niache kumshangaa yeye. ..Nikawa na washangaa Vijana wa kiume wanaoshirikiana nae katika kazi
 
Yaani alinichanganya kabisa. .. aka nifanya niache kumshangaa yeye. ..Nikawa na washangaa Vijana wa kiume wanaoshirikiana nae katika kazi
Pole aisee! Ingekuwa hivyo tungejisemea ni kawaida yao kwani sehemu yenyewe inaonekana sio tulivu ya kumfanya mtu afanye hiyo kazi bila kuvaa nguo ya chini
 
Back
Top Bottom