Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 144
Wachaga akili dongo sana! Subirini baada ya uchaguzi mtaona moto wake! Mnafikiri watanzania ni wapuuzi kihivyo kwa mikakati ya kipuuzi ya kikabila!Mzeee wa arimsereeeeeeemaaaaaaaa
Upoooooooooooooooooo
Mzeee wa sitawadondoshaaaaaaa
Lowassa atuambie ukweli kuhusu General tyre
kuna kijiushahidi chochote mkuu , hata uchwara ?Lowasa na karamagi wana hisa katika kampuni ya presishen air.ndio wanaoizuia eatz kufanya kazi .ivo basi serikali imeanza kupambana na lowasa.ivoivo kwa jenerotaya pia mamvi alikua na maslai binafsi.habari ndo iyo
Lowasa na karamagi wana hisa katika kampuni ya presishen air.ndio wanaoizuia eatz kufanya kazi .ivo basi serikali imeanza kupambana na lowasa.ivoivo kwa jenerotaya pia mamvi alikua na maslai binafsi.habari ndo iyo
kuna kijiushahidi chochote mkuu , hata uchwara ?
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo.
Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre.
Sasa naona serikali ya CCM imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh. Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka.
Bravoo Lowassa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
CCM katika harakati za kukimbiza kivuli cha Lowassa. Mambo kama haya ndiyo yanayokuhakikishia kuwa CCM sasa wamepanick - yani wanasubiri Lowassa akizungumzia kitu nao wanajifanya kukifanyia kazi haraka ili wananchi wapotee maboya, ingekuwa rahisi sana wao kufanikiwa na mbinu hii kama tungekuwa tumepata uhuru mwaka 2010.
Ni juzi tu kwenye hotuba ya Lowassa ya kujitambulisha Arusha aliwaambia wananchi kuwa anafahamu tatizo la General tyre - leo serikali ghafla kutoka kusiko julikana inatangaza kutaka kununua hisa zote za General Tyre - ila mtu mwerevu atauliza wapi vilipo Mwatex, UFI, Tanganyika packers n.k.?unagundua kumbe ni danganya toto nyingine ya ccm..
Mara ya mwisho wakati JK akiwa na hali mbaya sana kwenye siku za mwisho za kampeni za 2010 ndio alikuwa kwenye hali ya panic namna hii akiwa na sauti inayotetemeka kabisa akisema atajenga fly overs Dar es Salaam..
Lowassa sasa ni kama MAJI, Usipoyanywa basi utayaoga.
Kumbuka alisema pia "Mimi na mgombea mwenza wangu tuko imara mbele na nyuma"
Mie sijamuelewa hapo.
Lowasa na karamagi wana hisa katika kampuni ya presishen air.ndio wanaoizuia eatz kufanya kazi .ivo basi serikali imeanza kupambana na lowasa.ivoivo kwa jenerotaya pia mamvi alikua na maslai binafsi.habari ndo iyo
Hata mimi nimeshangaa sana kusikia hilo.
Bahati nzuri Lowassa alishalisema hilo.
leo kwenye taarifa ya habari ya channel 10, katibu mkuu kiongozi balozi seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha general tyre cha arusha mapema iwezekanavyo.
Tunajua kwamba mh lowasa alipoenda kutafuta wadhamini mkoani arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, arusha general tyre.
Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa namwomba mh. Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka.
Bravoo lowassa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi