Kiwanda cha dawa alichozindua Rais Magufuli kipo tangu mwaka 2014, sio kipya

Hahahahahahaha lol! Tanzania ya vi Wonder!!!! Huu ni uongo uliokithiri! Jamaa kutuzuga Watanzania na vi Wonder vyake 3,306 anazindua hata vya mwaka 47!!!
Kwi kwi kwi kwi kwi chezeya sera MUFILISI!!!
Jiandaeni na hoja za kumsafisha Nyarandu.
Hicho kiwanda kama ulisikiliza hotuba ya utangulizi iliyotolewa na mmiliki wa kiwanda hicho usinge jichekesha chekesha hadharani kama uko kwenye kitchen party.
Kwa kifupi kiwanda kilikuwa dormant na kilikuwa kinaendesha kwa hasara, sasa serikali ya awamu ya tano imekifanyia tathimini na kuanza kukipa tenda na tenda yao ya kwanza kuipata ni bilioni zaidi ya mbili. Na mpaka Rais anaenda kufungua rasmi ni sehemu ya kukitangaza na kukubali kazi wanazofanya ambazo zinahitaji ushirikiano wa pande mbili PPP.
 
mkuu, ebu kusanya wajinga wenzako, waone kuwa Magufuli alienda kule kwa ujinga tu wala hakuwa na purpose maalumu, aliamua tu!! angeenda basi kufungua barabara ya Nyerere au airport terminal II

Ungeuliza mkuu!!!! acheni kujivika chuki na ujinga!!

Kiwanda kinaweza kufunguliwa hata mara 100 ilimradi kila mtu anapoenda anaenda na kuna kitu kipya? extension/upgrade?
Ni vema sasa hicho cha dawa wali upgrade nini mkuu?
 
Uongo wako peleka kwa vikaragosi wenzio siyo humu.

Jiandaeni na hoja za kumsafisha Nyarandu.
Hicho kiwanda kama ulisikiliza hotuba ya utangulizi iliyotolewa na mmiliki wa kiwanda hicho usinge jichekesha chekesha hadharani kama uko kwenye kitchen party.
Kwa kifupi kiwanda kilikuwa dormant na kilikuwa kinaendesha kwa hasara, sasa serikali ya awamu ya tano imekifanyia tathimini na kuanza kukipa tenda na tenda yao ya kwanza kuipata ni bilioni zaidi ya mbili. Na mpaka Rais anaenda kufungua rasmi ni sehemu ya kukitangaza na kukubali kazi wanazofanya ambazo zinahitaji ushirikiano wa pande mbili PPP.
 
kILIWEKEWE JIWE LA MSINGI NA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA ENG NDIKILO ILA SASA RAIS MAGUFULI AMEKIFUNGUA RASMI ILA KINAFANYA KAZI
Kilianza uzalishaji tangu 2014 na sisi tumetumia dawa zake.Tuseme tu rais kufanya ziara kiwandani si vibaya,huenda waliosema amezindua hawafahamu maana ya neno hilo na kama wanafahamu huenda mimi ndiye nisiyejua maana ya neno kuzindua
 
Hakuna aliyesema ni kiwanda kilichojengwa mwaka huu ila kilikuwa hakijazinduliwa. RC Ndikilo aliweka jiwe la msingi
 
Haya wale wa kusifu na ku..... Waje

Mwaka 2014 kiwanda hicho kilikuwa bado kichanga kuweza kuhudumia kanda ya ziwa na mikoa jirani.

Mwaka 2016-2017 kiwanda hicho kilifanziwa extension ili kuweza kukidhi mahitaji ya nchi nzima.

Hivyo basi mitambo mipya, nguvu kazi pamoja na uzalishaji imeongezeka tofauti na hapo mwanzo.

Kufunguliwa rasmi na Mh. Rais ni jambo jema katika kuimiza Tanzania ya viwanda vikubwa na kuwatia moyo wawekezaji ili wasisite kuboresha na kufanya upanuzi wa viwanda vyao ili kuongeza ajira, kodi na ustawi wa watu.
 
Mimi mwenye nimeshangaa eti katika ziara mwanza anazindua kiwanda cha Victoria polybags kilichopo igogo mwanza wakati kiwanda kipo toka mwaka 2000

Mkuu kiwanda sio majengo pekee, ili kiitwe kiwanda kuna vitu vingi mfano mitambo, nguvu kazi, aina na ubora wa bidhaa n.k.

Ni kweli kuwa Victoria Polybags ilikuwapo toka 2000,lakini kwanini miaka hiyo bidhaa nyingi za plastics ziliagizwa toka Dsm, Kenya n. k?

Tofauti na sasa kiwanda kinazalisha bidhaa nyingi zikiwemo zile za miundombinu ya maji, umeme, vyombo vya majumbani hivyo kukidhi mahitaji ya soko.

Kuzinduliwa rasmi kwa viwanda hiki ni mwanzo mzuri wa kuongeza uzalishaji wa bidhaa zilizo bora zaidi, kuongeza ajira na kuhimiza wawekezaji wengine.
 
Mwaka 2014 kiwanda hicho kilikuwa bado kichanga kuweza kuhudumia kanda ya ziwa na mikoa jirani.
Mwaka 2016-2017 kiwanda hicho kilifanziwa extension ili kuweza kukidhi mahitaji ya nchi nzima.
Hivyo basi mitambo mipya, nguvu kazi pamoja na uzalishaji imeongezeka tofauti na hapo mwanzo.
Kufunguliwa rasmi na Mh. Rais ni jambo jema katika kuimiza Tanzania ya viwanda vikubwa na kuwatia moyo wawekezaji ili wasisite kuboresha na kufanya upanuzi wa viwanda vyao ili kuongeza ajira, kodi na ustawi wa watu.
Jibu swali kiwanda ni kipya au sio kipya,nyie ndio watu ambao hata chama kikikupata mafuta makalioni utasema hakuna dalili za kuingiliwa
 
Hahahahahahaha lol! Tanzania ya vi Wonder!!!! Huu ni uongo uliokithiri! Jamaa kutuzuga Watanzania na vi Wonder vyake 3,306 anazindua hata vya mwaka 47!!!
Kwi kwi kwi kwi kwi chezeya sera MUFILISI!!!

Nasubir akazindue na Urafiki textile
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom