Kivuli cha Lowasa kinatisha

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Hajatamka kwamba ana mpango wa kugombea urais mwaka 2015. Lakini kila anachofanya kinahusianishwa na urais. Hii inaonesha wazi kuwa, Lowasa ni tishio iwe ndani ama nje ya CCM. Na ni wazi hakuna wa kumzuia asikanyage kitalu namba 1, Magogoni iwapo ataamua kujitosa ktk kinyang'anyiro hicho iwe anatokea CCM ama chama kingine na hata akiwa mgombea binafsi. Wapi na lini alitangaza kuwa atawania urais baada ya JK? Kama kishindo chake kinatetemesha, vipi akitokea mwenyewe?
 
Anachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
 
Kivuli kinawatisha ninyi mlio na pricetag. JK,EL na RA ni genge moja. hawakukutana barabarani, yeye mwenyewe alishasema.

Kwa nini alikubali kujiuzuru uPM bila kuwaeleza waTz anaodai kuwapenda ukweli kuwa washikaji zake JK na RA ndio Richmond/DOWANS wenyewe. kwa nini alishindwa kuchukua uamuzi mwepesi tu wa kuwataja kama na yeye was not part of it?
Sasa anahangaika kuwatuma watu JF na kununua waandishi waliojirahisi
 
Kama wapo wanaolipwa ili kuandika mazuri ya Lowasa, ni wazi pia kutakuwa na watu wanaolipwa humu Jf ili kuandika mabaya yake. Na kama kuna waandishi na magazeti yanayolipwa ili kuandika mazuri ya EL, basi wapo waandishi na magazeti yanayolipwa katika kumchafua.
 
Anachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
Pole sana mnyisanzu, bahati mbaya kwa Lowasa na wafuasi wake, CDM si mali ya viongozi.
 
Anachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
kuna mou kati ya cdm
 
Kwa hiyo lowasa akisimama 2015 .. cdm hamto simamisha rais ..
 
mwache awe raisi bana sio huu msukule tulio nao sasa...yaani anaenda davos anongea vitu as if yuko kwenye debate za form 2 ...haelewi kabisa anachoongea huyu mzee..sijui hata UDSM alipataje hiyo degree yake japo GPA ilikuwa 2.5
 
leo yupo shinyanga hapa,, anashirikiana na wananchi ktk harambee kkkt. Anajuwa nn anataka kuifanyia tanzania, tumuunge mkono2 maana najuwa hatotuangusha ametokana na historia ya nchi hii na chama chake ccm.
 
Kivuli kinawatisha ninyi mlio na pricetag. JK,EL na RA ni genge moja. hawakukutana barabarani, yeye mwenyewe alishasema.

Kwa nini alikubali kujiuzuru uPM bila kuwaeleza waTz anaodai kuwapenda ukweli kuwa washikaji zake JK na RA ndio Richmond/DOWANS wenyewe. kwa nini alishindwa kuchukua uamuzi mwepesi tu wa kuwataja kama na yeye was not part of it?
Sasa anahangaika kuwatuma watu JF na kununua waandishi waliojirahisi

Hivi mnataka lugha gani itumike humu ili muelewe. Mtu alishatoa nondo zake NEC Na hakuna aliyejibu wala kukanusha mpaka sasa. Tena alishawataja wanaomchafua kwa majina. Wale wamekaa kimya, akamtaja na aliyeileta Richmond Mr Six. Naye kimya. Mwisho akatoa na sababu ya kukaa kimya wakati huo, tena ya msingi kwa maslahi ya chama chake. Bado hamuelewi. Gari kubwa limeziba njia. Sijui mtapita wapi.
 
basi Lowasa ni MZIMU unaotembea ikiwa kivuli chake kinatisha. Awe Mgombea Binafsi ili akamilishe ufisadi maana hakuna wa kumzuia.
 
huyu mzee achukue tu hii nchi...!manake hata mimi na yeye "hatukukutana service road"...
 
Huyu mtu anatisha jamani what i believe akigombea tu kachukua nchi!

Yaani pamoja na kubadilisha ID hujaweza kuja na chochote cha maana. Sikiliza nikuambie, watu wamechoka kusikia kile kile kila siku. Haya Lowassa anatisha, si tusubiri uchaguzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom