Kivuli cha Lowasa kinatisha

kama uPM alijiuzuru URAISI wa kazi gani?
Yaani jitu likiwa kichwa maji utalijua tu! Hebu nenda kamuulize Mwinyi kwanini alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani and then aliutaka urais wa nini? wewe ni toto la chekechea kumbe:A S embarassed:
 
Yaani jitu likiwa kichwa maji utalijua tu! Hebu nenda kamuulize Mwinyi kwanini alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani and then aliutaka urais wa nini? wewe ni toto la chekechea kumbe:A S embarassed:

Pls huwa sipendi kujenga hoja na mtu mwenye tabia ya kuropoka na kutoa povu.

Nani kakwambia nchi ya tanzania ni nchi ya kuwapa watu mafunzo ya uraisi?
Hatuitaji utuchagulie kiongozi, tutachagua wenyewe,kama unaona anafaa,nenda katika ukoo wenu ili mumpe uwongozi awaongoze nyie,sisi tutachagua kiongozi wetu anayetufaa.

Swali hili hukunijibu :

"kama uPM alijiuzuru URAISI wa kazi gani"?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom